INCASE UNAHITAJI KUJUA RATIBA YANGU YA IJUMAA INAYOKUJA
Nitaanzia Nyumbani Lounge kwenye birthday Party ya mshkaji mmoja hivi, Then nitaenda Trinity kwa masaa kadhaa kwenye White Party, mida ya kabla ya saa sita nitaelekea Mzalendo Pub kufanya kinachonipa Respect na kinachoniweka mjini, Nitaimba hapo weeee, then mida ya Saa nane hivi nane unusu narudi tena kumalizia white Party na mshkaji wangu BijouxNdio, ni ukweli...Ile nguo ya Private white party nayo ni nguo basi, pale nilijifunika mbona!!This time am gona walk naked...anzeni kuzoea kabisaaaaaaaaaaMuandae macho na mishangao, am just gona be meSikujaribu kumuiga Gaga, labda yeye ndio aliniiga mimi Manake ile nguo niliwahi kuivaa miaka 6 iliopita, kabla hata ya kumjua GagaYou heard?????????????????My brother Gonga, see you there
No comments:
Post a Comment