INATEGEMEA UNAPENDELEA KULA KWA STYLE GANI, YA KISWAHILI KABISA YA SAHANI MOJA NA KUZUNGUSHA DUARA
Inaruhusiwa pia style ya Ugali mkubwa kama Kichwa cha Simba mnakula wote kwa pamoja Huyo samaki wa mchuzi hapo juu anajulikana kama SATO SUPERNi mtamu ajabu
Ishara ya Upendo na Udugu
No comments:
Post a Comment