Jennifer Beals was born December 19, 1963 in Chicago. She is most famous for playing the role of Alex a welder/night club dancer in Flashdance. Most people probably identify her image in Flashdance during the scene when she was warming up for dance practice to the song "Maniac".
Jennifer Beals as Alex in Flashdance 1983
Beals got her acting start when she landed a small part in My Bodyguard
ALBUM YA PICHA ZA SPRING BREAK PARTY STOCKHOLM
Kuingia tu Club ya Mturuki mlango wa kuingilia jikoni karibu na Counter nikakutana na Jicho tena linaniangalia
Kumbe nilichelewa kweli kujua haya Macho
Saa hizi kila nikiingia sehemu inabidi niwe naangaza ukutani
Ila hili sasa limerembwa, hatari.
Kwa picha zaidi za shughuli hii tembelea www.stockholmsb.blogspot.com
SHUKRANI ZA DHATI KWA WOTE WALIOIWEZESHA SAFARI HII.....
Hotel zote nilizolala nimeridhishwa nazo
Salamu za shukrani kwa Da Chiku -Bergen
Salaamu za shukrani kwa Hassan Nganzo "Thug Life" -Oslo
Salamu za shukrani kwa Eddie Bukenya -Amsterdam
Salamu za shukrani kwa Freddynice na Sound of Blackness -Stockholm
Salamu za Shukrani kwa Mwamvita Jumbe "MACHO" -Greece
Huko ndio nilikula mpaka nikataka kupasuka mapishi ya Ki Tanga
Ur the best hair dresser ever
MOJA YA WENYEJI STOCKHOLM ALIKUWA BI SANDRA.........UKIINGIA TU NDANI KWAKE UNAKUTANA NA JICHO LINAKUANGALIA
Bi Sandra mtoto wa ki Mombasa, kuingia tu mlangoni nikaona lijicho kuuubwa linaangaza
Nikmwambia kumbe na wewe una hili jicho, umelipata wapi??
Akaniambia analo hilo hapo ukutani na ana jingine anatembea nalo kwenye handbag, upo hapo?
HII NAYO NI KAZI KAMA KAZI ZINGINE
Ukipiga picha ukisimama kuangalia lazima umwage Coin
Akivua hizo nguo kama jini akafuta na uso ukakutana nae Pub utamjua kama anasimama barabarani??
Unaweza ukasema tu, I DO
IMANI YA JICHO
Lakini kwa Geece vina maana yake
Kama utaangalia vizuri katika picha ya hivyo vikoro koro kuna duara ambalo linaashiria picha ya Jicho
Au unaweza kuvaa shingoni pia
Inawalinda na Macho mabaya ya husda za watu
Kila duka au sehemu yoyote ya biashara ukiingia unakuta wameweka huyu mlinzi
Wengine wanaunga Vitunguu Thaumu mlangoni wananing'iniza
Nimevinunua vitano, moja wapo ikiwa ni kidani cha shingoni nitakuwa navaa kujikinga na macho ya husda nione kama itafanya kazi
Vingine nitawagaia watu wa karibu ninaowapenda nao wajikinge na macho mabaya
Unaweza kuwa mmoja wao wa kupata hiyo zawadi usicheze mbali na mimi
Nikirudi nitakuwa naangalia nani anafaa kupewa pale Nyumbani Lounge
Hebu fikiria hilo jicho hapo juu kwenye picha likakutana na jicho baya
JICHO KWA JICHO
Hapa yanakuwa yanapambana yenyewe kwa yenyewe
Wewe umetulia tu
JIDE WA KUCHORA
Smile, Smile, Smile nadhani hilo ndio neno pekee analolijua la Kidhungu