منتديات عطعوط: xnxx سكس عربى افلام سكس قصص سكس صور سكس جنس عرب محارم 89 sex
UKARIMU WA ZANZIBAR SERENA INN
Ukaribishwe mlangoni na juice kwanza mbali nakushushiwa mizigo na kufunguliwa mlango wa gari
Bella alionja tam tam hiyo
Uniform zao zimekaa katika hali ya usafi sana hata jinsi wanavyoongea wanatia moyo utamani kuongeza siku za kukaa hata kama ilikuwa ulale usiku mmoja
Chumbani kuna kila unachokihitaji, kama ni mpenzi wa wine utakutana nayo mezani tu ukiingia Kama ni mgonjwa utakutana na matunda mezani pia ........"Hiyo nimetania"
Ukitaka ku swim bwawa lipo tena pembeni ya bahari
Sehemu ya kupunguza stress a.k.a Maliwato
Private Bar iko ndani ya chumba pia, bora tu mfuko uwe fresh maana uki check out tu unakutana na bill yako reception. Sasa usijeingia ukaanza kunywa ukadhani ni za bure zimelipiwa pamoja na chumba utaumia
Sehemu ya kulia chakula nayo inatazamana na bahari
Nilipata fursa pia ya kutembelea chumba cha massage na kufanyiwa, nitatuma picha ngoja niziangalie kwanza kama zinafaa au zitaleta mgogoro maana massage si mwaijua heeh!!!
No comments:
Post a Comment