www.8teenxxx
منتديات عطعوط: xnxx سكس عربى افلام سكس قصص سكس صور سكس جنس عرب محارم 89 sex
MAPISHI YA NSANSA TOKA TABORA
Unaziloweka kwenye maji zaidi ya robo saa ili mchanga uweze kutuama kwakuwa huwa una michanga midogo midogo
Unauosha huku unaupikicha kuhakikisha mchanga unatuama, waweza uosha zaidi yamara tatu uwe msafi zaidi.
Haya ni majano ya kunde yaliyochemshwa yakakaushwa.Baada ya kukauka wamechanganya na uyoga uitwao KANSWELELE ni mdogo mdogo san
a
Unakaanga vitunguu na nyaya, vikiiva na kulainika unaweka mboga yako uliyoosha unageuza geuza unaweka chumvi, unaifunika baada
Unaweka Karanaga zilizosiginwa, unakuwa unaugeuza geuza ili zisishike kwenye sufuria.
Ukiridhika kuwa karanga zimeiva unaipua
Unakula na chakula kama Ugali, Wali na Mihogo au Viazi
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment