BELINA BIRTHDAY PARTY NA MA SUPRISE KIBAO
Hafla ya chakula cha jioni kusherehekea siku yake kubwa ya kuzaliwa Belina, ilifanyika Sweet EazyPichani juu akiwa na mupenzi
Wanawake wengi hupenda viatu, kwahivyo basi keki ilioandaliwa usiku huo ilikuwa ya muundo wa kiatu
Asante kwa mwaliko

Mashostito mbalimbali waliohudhuria, sherehe hiyo ya kuzaliwa Belina iliohudhuriwa na watu zaidi ya 60
Mazawadi yakaanza baada ya kula na kunywa, kabla ya kuingia ukumbini kulisakata Rhumba
Mume akimvisha zawadi Bibi, Zawadi zilianzia masikioni, la kulia na la kushoto
Zikafatia shingoni na kumalizikia mkononi
Mwanamke madini, unaweza kumtathmini kwa usiku huo mmoja tu alikuwa ni wa thamani ya kiasi gani??? Je! Unaweza kuhudumia? Kama la hasha basi kaa mbali waachie wenzio wanaoweza
Shingoni dhahabu
Masikioni dhahabu, usiku ulikuwa mzuri kwa Belina, anaemilikiwa na mwanaume wa Kikongo anaejua thamani ya Mwanamke.
Belina natoa shukrani pia kwa wote walioitikia wito na kuifanya siku yake iwe ya kihistoria, pia kwa zawadi zingine zote mlizompatia.
No comments:
Post a Comment