MAISHA UPANDE WA PILI WA SARAFU

Hii sio sinema wala picha za kuungwa, ni maisha ya kweli ya watanzania wengi waishio mikoani
Watoto wakifanya kazi ya uchotaji maji kwa baiskeli Katumba-Mpanda
Mtoto ameelemewa anakokota baiskeli badala ya kuendesha kachoka sasa anaisukuma

Wanafunzi wa secondary nao wako busy na uchotaji maji baada ya mapumziko ya shule, secondary ya Katumba

Kipindi hiki maeneo ya huku ni baridi sana wakati wa asubuhi wanafunzi wa shule ya msingi wanaenda shule ila wamejikunyata sana kwa baridi

Huyu Mzee kidogo ana matatizo ya akili, lakini anapiga Maombi sana, alipotukuta site akafunga macho akaanz kutuombea kama robo saa hivi, nimesahau hata jina lake



Maelezo na Picha zote kwa hisani ya: Ester Ulaya
Picha zaidi kukujia hapo baadeni

NAKUMBUKA KUTOA SHUKRANI KWA BINTI AFRICA






Shukrani ni neno dogo sana lakini na imani lina maana kubwa ukilitoa pale linapostahili
Nilipokea zawadi hizi muda kidogo lakini leo narudisha shukrani zangu za dhati toka moyoni
Binadamu anapokufukiria huna budi kusema Asante.

Nguo kama hizi na nyingine nyingi zinapatikana Duka la Binti Afrika lililoko Kinondoni B, Karibu na Msikiti wa Mtambani.
Mnaweza kupita kuangalia yatakayowaburudisha


Asante sana BINTI AFRICA

Email: bintiafrica@rocketmail.com
Simu: 255 653 777 774


INAHITAJI UJASIRI KUJISEMEA HIVI KAMA ENRIQUE EGLESIAS

Maana humu duniani wengi wanajifanya wana kubwa

PARTY NYINGINE HII HAPA

HARUSI...


FROM LEFT, PHILEM(SECRETARY) VICE PRESDENT DR. BILAL,DEO
SANGA MP OF NJOMBE NORTH(FATHER),MOTHER, SPEKER OF NATIONAL ASSEMBLY ANNE
MAKINDA GETRUDE RWAKATALE the wedding was at UBUNGO PLAZA
ON 16th JULY 2011

Imetumwa na

Majuto Sanga

HAYA KWA WALE WALIOZOEA KUCHUNA WAUME ZAO, KAUJUMBE HAKO KANAWAHUSU. TEHE TEHE TEEE TEE

THE BEAT FESTIVAL




FRIDAY
29.07.11 - 21.00
Venue: Triniti - Msasani rd. 26, Oysterbay DSM

FID Q - Swahili Hip-Hop
Fid Q (Conscious Rap) is the most featured and most respected rapper in Tanzania. With countless awards and prolific appearances on the live scene Fid Q is without a doubt the king of Tanzanian hip-hop. His flow and ability to relate to his audiences everywhere in the world has dubbed him the swagger don - the father of swagger. His sound is creative, both lyrically and musically, fusing sounds from jazz, taarab and neo soul.

MZUNGU KICHAA - Reggae/World
Mzungu Kichaa took East Africa by storm with his first music video Jitolee. After releasing his debut album in 2009 he won an African Achievement Award at a prestigious award ceremony organised by the African Diaspora in Scandinavia. Through his influence on the Tanzanian music scene Mzungu Kichaa was selected as a judge for the last edition of the televised talent show Bongo Star Search.

RAGE - English/Swahili Hip-Hop
Born and raised in North London, Rage came to Tanzania in 2003. Rage embodies a true Hip-Hop ideology and is respected for his ability to write strong reflective poetry. His Tanzanian roots and his experience growing up in London has given him a unique position on the Tanzanian Hip-Hop scene.

YVONNE MWALE - Soul/Reggae
Back after popular demand. Yvonne did a blinding performance at the last Beat Festival. Tonight will be your last chance to catch her before she returns to Zambia. In 2009 Yvonne won Best Female Upcoming artist at the Zambian Ngoma awards. She has performed for a number of years with the group Nyali Band.

RAS MIZIZI - Reggae
Famed for his song "kitu cha arusha", Mizizi is renowned for getting the crowd fired up. Whether you know the songs or not you will quickly find yourself singing along.

BONGO BEAT - Festival backing band

The Beat is a monthly festival (usually on the last Friday of the month) showcasing the best live music from Tanzania and abroad. The festival is hosted by Mzungu Kichaa and features some of the best local and international talent passing through Tanzania.

Triniti (www.triniti.co.tz) provides a relaxed ambience to enjoy good music taking you far away from the cities hustle and bustle, and yet it is still very central. Entrance is only 10k at the door.

---------

Powered by CARAVAN RECORDS with the support from Alistair Logistics, Radio France International (kiswahili) and Goethe Institute.

Please join our facebook page for more info:

MTOKO WA JUMAMOSI NDIO HUU

CPWAA TO PERFORM ON BIG BROTHER AFRICA AMPLIFIED FINALE



Tanzanian Urban Music ( Bongoflava) Artist CP a.k.a CPwaa “ The King of BongoCrunk” has been invited by Big Brother Amplified/ MultiChoice Africa as one of the few selected artists in the continent to perform on the finale show 31st of July 2011. CPwaa will be the only artist from East Africa to represent live on the stage during the final BBA eviction show where one housemate will leave the house with a prize of 200,000 USD! Other invited Artist on the Big Brother Amplified Finale 2011 include WIZ KID and MO CHEDDA (Nigeria), FALLY IPUPA ( Congo) and South African’s PROFESSOR and SPEEDY.

Big Brother Amplified is Africa’s biggest Live show coming to its season end on 31st of July with over 50 Million viewers in 58 countries watching it live from their TV screens across the continent and the world. CPwaa is the second Tanzania artist to perform on BBA Amplified after “Shaa” who performed a couple of weeks ago. CPwaa also will be the second East African artist to perform on BBA Finale after WYRE ( Kenya) who performed on last year’s BBA finale. Other Artist who have been on the BBA stage 2011 include Cabo snoop ( Angola), Cindy (Zimbabwe),Vee and Scar (Botswana), EES (Namibia), AKA (South Africa), Ice Prince (Nigeria), Radio and Weasal ( Uganda), Nonini ( Kenya), Jaguar( Kenya) and Buster Rhymes( U.S.A). The finale will take place in Johannesburg, South Africa around 19.00 -21.00 EAT and broadcasted live through Channel 192/8 on DSTV Multichoice .

Cpwaa, the “ Action” song hit singer will perform his hit songs include ACTION featured Ms. Triniti, Dully Sykes and Mangwear. CPwaa’s team and management would like to thank all media houses and fans for supporting him and also thanks STREET SOUL CLOTHING RANGE for volunteering to sponsor CPwaa’s wardrobe for the whole trip.See CPwaa's latest video below and for more visit his official website:: http://www.cpwaa.co.tz/

MODY BAWAZIR KUSIMAMIA NGUMI OCTOBER - DIAMOND JUBILEE


KUSHOTO NI BINGWA WA UBO ANAYETETEA MKANDA WAKE MBWANA MATUMLA NA KUSHOTO NI MPINZANI WAKE FRANCIS MIYEYUSHO.BAADA YA KUSAINI MKATABA WA KUPAMBANA TAREHE 30 OCT DIAMOND JUBILEE HALL.KATIKATI NI MKURUGENZI WA DARWORLD LINKS LTD AMBAO NI WAANDAAJI WA PAMBANO MODDY BAWAZIR

JUMAPILI 24 JULY, NYUMBANI PALISHAMIRI SHANGWE TENA

Sina haja ya kumtambulisha huyu anajulikana pooooooooote

Beautiful girls



Katika kuendelea kutambua support ya watu ambao wako na sisi bega kwa bega, katika shida na raha EDWARD URIO, ambaye kwa bahati mbaya alishindwa kuingia ndani siku ya utoaji Tuzo kutokana na hali yake kuwa tete.........Ilibidi aipokee jumapili "BEST MALE SUPPORTER"



Na SIR KIM TENGA akairudi rasmi jumapili mbele ya umati
"BEST MALE SUPPORTER" of all time



Hatungeweza kutoa kwa kila mtu, ila tunashukuru tena kwa watu wanaoiamini MACHOZI BAND na kuendelea kutupa nguvu ya kufanya kazi.

MEDIA ILIOPATA TUZO ila kwa bahati mbaya muwakilishi wake bado hatujamfikia ni ISSA MICHUZI BLOG




Amani iwe nanyi

HII HAIKUWA RASMI, ALIPITA KUISALIMIA TU NA KUPIGA NAYO PICHA



Hii ilikuwa siku ya jumamosi

20 July Machozi ilipiga Maisha club,Huko Hamnaga Picha, IJUMAA 22 JULY 2011. CHOZI LIKALIA TENA NYUMBANI

Kama masihara, lakini ni kweli MACHOZI BAND sasa imefikisha miaka 6 tangu kuanzishwa na Ijumaa ya tar 22 tuliamua kufanya pary ya kusherehekea ushindi na mafanikio yetu ambayo yanaweza kuwa ni kidogo kwa wengine lakini hatua kubwa sana kwetu.


Kutambua na kuthamini mchango wa wanamuziki na wadau waliokuwa na sisi tangu tunaanza hadi leo, tuliamua kutoa Tuzo kuwashukuru kwa mchango wao.

Pichani juu Ni Mwinyi Goha, akikabidhiwa tuzo ya Mwanamuziki anejipenda na mwenye muonekano Safi, kuanzia mavazi n.k kwa kipindi chote ambacho yupo kazini.
Swahiba, Shamim Mwasha akimkabidhi Mbwana Mponda Tuzo ya Mwanamuziki aliekaa na Band kwa muda mrefu kuliko wengine wote.
Huyu anapiga Bass Guitar, Tangu MACHOZI inaanza mpaka leo yupo

Jonico Flower, Best Vocalist hilo halipingiki hata Jide anaweza kusubiri hapa

Mfanyakazi Bora alikuwepo lakini alikuwa kazini hakuweza kuinuka hata kuifuata Trophy yake, mkewe akamchukulia akampelekea pale alipokuwa amekaa
Huyu si mwenye Tuzo, ni mke wa mwenye Tuzo hiyo inayoonekana pichani juu

Baada ya kupokea kikombe na bahasha ya fedha taslimu alienda kuzikabidhi kwa baba kwanza, zikatiwa barka halafu kama ma mwenye nyumba akarudi nazo kuzimiliki na kuzipangia budget
Mfanyakazi bora wa MACHOZI BAND anaitwa DUDU
Best Male Supporter "ERASTO LUGENGE"
Pamoja na kuwa tunaimba watu wanakuja, lakini kuna watu huwa wanakuja kila siku, lije jua ije mvua na tumetambua mchango wao.

Best Female Supporter "TINDWA"
Tangu Chozi linaanza JJ Blue mpaka linapata makazi yake Nyumbani,
mdau yupo tu



Mwanamuziki mwenye nidhamu zaidi anaitwa Jules


Hiii nitailezea juu



Tanzania kuna wanawake wazuriiiiiiiii, sana, so natural

Picha ziko nyingi, Tuzo ziliendelea mpaka Jumapili kwa abao hawakuwepo Ijumaa kuchukua Vikombe vya, tunalala kidogo kwakuwa muda umeenda.
Tukiamka tutawapa picha zaidi hii ni TRELA, Mkanda kamili waja

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive