HABARI..

Beast Magazine MD, Wilson Kiambati adressing the press before the ceremony

Mombasa Golf Club Chairman Erick Nyongesa receiving chequoe from Mr. Kiambati

Wilson Kiambati signing the KSHS 1Million sponsorship cheque to Mombasa Golf cntenary Celebratio

2011 marks 100 years of golfing for the Mombasa Golf Club. The club that was founded in 1911 will be celebrating the Centenary this year during the month of August. Several activities have been lined up as a build up to this signature historic event for the club. To this end the club is offering a rare opportunity for businesses in Kenya and beyond to be part of the celebrations by way of sponsorship.

It is in this regard, that one Media Master International limited the publishers of The Beast Magazine seized the opportunity by enlisting to be the Title sponsors of the Centenary when they signed up the Platinum category of the sponsorship with Kshs1,000,000. With this sponsorship The Beast Magazine has set the stage for other institutions to take up other sponsorship categories that include; Gold, Silver, Bronze, Eagle and Birdie.


below are the video links of the signing ceremony

http://www.youtube.com/watch?v=b7xahBq89Jg
http://www.youtube.com/watch?v=uVblE4_kCLo
http://www.youtube.com/watch?v=r0ZdRYlatoE

Vijana wa Hennessy Hitters kushiriki mashindano ya ndani ya kriketi

HITTERS CAPTAIN

THE TEAM

Wafanyabiashara wakubwa 15 wa Dar Es Salaam wameungana pamoja kushiriki katika ligi ya mashindano ya ndani ya kriketi yatakayoanza mwishoni mwa mwezi wa kwanza. Wananchi wamealikwa kujitokeza kwa wingi kuipa sapoti Hennesy Hitters inayoongozwa na Kepteni Kishen Savani, katika mechi yao ya ufunguzi itakyofanyika Jumatatu ya tarehe 31 mwezi huu, saa tatu usiku, viwanja vya Funkys Orbit (Masaki)


Kwa falsafa ya Hennessy (LVMH), ambao wanaamini katika ubunifu na suala zima ugunduzi katika maisha , na hiyo ndio sababu ya Hennessy kushiriki na kutoa udhamini huo.


“timu yetu imeundwa na marafiki wa karibu ambao ni wachezaji wa mchezo huu enzi ya ujana wetu” alisema nahodha Savani, “ tumekuwa tukijifua vilivyo kwa muda wa wiki chache zilizopita, na kwa sasa tuna timu imara mbapo tunaamini ushindi katika mechi hii ya ufunguzi”.


Timu ya Hennessy Hitters inaundwa na kundi la wafanyabiashara wafuatao: Kisheni Savani (Kepteni wa timu), Chintui Patel (Kepteni msaidizi), Kevin Patel, Nishit Kanabar, Imran Hirji, Heri Bomani, Nadir Hirji, Nitesh Patel, Prahld Nathwani, Rupesh Kanabar, Situ Ramji, Akash Patel, Pullen Manek, Anand Patel na Gopal Patel.


“kwa hadhi tuliopewa na jamii, tunaamini huu ni wakati wa sisi na jamii kuwa pamoja katika mafanikio yetu na kwa kila mmoja wetu “-LVMH(Louis Vuitton. Moet Hennessy)

Mechi zinazofuata zitachezwa tarehe 31 mwezi huu, tarehe 3, 8, 10, na tarehe 18 katika mwezi wa pili.


Kwasasa Hennessy (LVMH) ni kingozi wa Cognac , ambayo inauza chupa zaidi ya milioni 50 duniani kote.


Kwa maelezo zaidi, tembelea http://www.lvmh.com


Ernest Borgnine who played Quinton McHale in the TV series McHale's Navy

Ernest Borgnine was born Ermes Effron Borgnino on January 24, 1917 and is a Hollywood legend.  He is known for many movie roles over the years but is probably best known as playing Quinton McHale in the TV series McHale's Navy.  He also won an Academy Award in 1955 for his role in the film Marty.




Ernest Borgnine as Lt. Cmd. Quinton McHale in McHale's Navy


1951

Borgnine's popularity

Larry Linville who played Frank Burns on the TV show M*A*S*H

Larry Linville was born Lawrence Lavon Linville on September 29, 1939.  He is best known for playing the role of Frank Burns on the TV show M*A*S*H.




Larry Linville as Frank Burns in the TV show M*A*S*H

Larry got his acting start in 1968 appearing in a recurring role as Lieutenant George Kramer in the TV show Mannix.  He co-starred with Mike Connors, Gail Fisher and Ward Wood.  Linville

JINSI YA KUPIKA UYOGA

Humo ndani kuna uyoga wa aina nyingi sana na tuliuchanganya wote kwa pamoja nikaupika kwa nyanya na vitunguu na mafuta, majina ya uyoga huo ni haya hapa, Ushikoa, Unkese, uyungwe, Kaujogoo, Wikundi kundi, Ndevu za Babu na Untyelele. Wote huu upo humo, mtamu sana.

UYOGA FRESH, umechumwa shambani, huu ni ule unaoota wenyewe mashambani na sio wa kupandikizwa kama wa mijini.

Uyoga ukisafishwahasa kutolewa udongo ktk mashina na kukatwa katwa vipande vya size ndogo

Unausafisha uyoga vizuri na maji ili mchanga na udongo usiwepo

Unakaanga vitunguu na nyanya, vikiiva na kulainika unaweka uyoga wako ulio msafi, unageuza geuza vichanganyikane, unaweka chumvi
Ukiiva unakua rangi hii, pia kuna wanaopika bila nyaya, ni namna mtu apendavyo, unakula kwa ugali, wali, viazi n.k


Recipe hii imetumwa kutoka TABORA

ICE BLACK MAGIC - STOCKHOLM


"THIS FRIDAY STOCKHOLM CITY IS GOING HOT,
THE ICE WILL BE MELTING ON BLACK AND LET THE MAGIC SHINE"
More infos Visit An official blogspot for
STOCKHOLM ICE BLACK MAGIC 2011
www.nicegonga.blogspot.com


Tatum O'Neal who played Ferris in Little Darlings

Tatum Beatrice O'Neal was born November 5, 1963 in LA.  She is probably best remembered for her role as Ferris in Little Darlings co-starring Kristy McNichol.  However, she is the youngest actress in history to win an Academy Award.  She did so in 1973 at the age of 10 for her role as Addie Loggins in the film Paper Moon.  She won the award for best supporting actress co-starring with her father

Kristy McNichol who played 'Buddy' Lawrence in the TV show Family

Kristy McNichol was born Christina Ann McNichol on September 11, 1962 in Los Angeles, California.  She is best known for playing the role of 'Buddy' Lawrence on the TV show Family.  She then later appeared in the role of Barbara Weston in Empty Nest.




Kristy McNichol then

First appeared in commercials with her brother and former actor Jimmy McNichol.  However, in 1973 she made her television

TOVUTI MPYA INAYOHUSU MASUALA YA AFYA


Tovuti ya Afya

www.tanzmed.com

TanzMed ni mjumuiko wa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya wa kitanzania ambao wamejitoa katika kuhakikisha kuwa jamii ya kitanzania na Afrika kwa ujumla inafaidika kwa kupata habari na ushauri juu ya masuala ya afya yanayozunguka jamii hizo. Lengo kuu la tovuti hii ni kuleta mwamko kwa Watanzania katika kufahamu umuhimu wa kuwa na Afya bora kwa njia ya mawasilianoya mtandao. TanzMED imedhamiria kuwa chanzo kimojawapo cha habari, elimu, ushauri na mengi mengineyo yahusuyo afya.
Maana ya TanzMed

TanzMED ni muungano wa maneno mawili, “Tanz” ambalo linawakilisha Tanzania na “MED” ambalo linawakilisha Medicine.

TanzMED Forums - forum.tanzmed.com

TanzMED Forums

TanzMED Forums ni jukwaa linalopatikana ndani ya tovuti ya tanzMED ambalo kusudio na lengo lake ni kuwawezesha wanajamii kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu afya kwa ujumla.

Ndani ya TanzMED Forums kuna majukwaa kama,afya ya akina mama na watoto,magonjwa,lishe na madawa,Mahusiano vilevile ushauri nasaa.

Hivyo basi TanzMED Forums ni suluhisho la maswali yote ya afya yako.

Powerd by AfroIT Group

TANZANIA MITINDO HOUSE INATOA NAFASI 10 ZA MWALIKO WA CHAKULA CHA MCHANA PAMOJA NA WATOTO WA KITUO HICHO - NI KWA WADAU 10 WA BLOG YA LADY JAYDEE



TANZANIA MITINDO HOUSE INAPENDA KUWAALIKA WADAU KUMI WA BLOG ZA 8020FASHIONS,LADYJAYDEE, ISSAMICHUZI NA DINA MARIOS

KATIKA KUELEKEA SIKU YA WAPENDANAO DUNIANI, TMH IMEANDAA CHAKULA CHA MCHANA NA KUONYESHA UPENDO KWA WATOTO YATIMA, INAWASHIRIKISHA WADAU WA BLOGS AMBAZO ZINATOA SANA SUPPORT KWAO .

TMH VALENTINE CELEBRATION – WATOTO FUN DAY. ITAFANYIKA TAREHE 13 MWEZI WA PILI 2011 VIWANJA VYA TMH FUN CENTRE KIGAMBONI

KUANZIA SA NNE ASUBUHI MPAKA SA KUMI JIONI

WATOTO FUN DAY INADHAMINIWA NA KCI, IKU LAZARO NA LONGMAN





JIDE:

Kwa Upande wa Blog hii ya JayDee......ningependa watu kumi wa kwanza watakaotuma comments kwa open ID, waniandikie na e-mail pia ili tuwasiliane tuweze kushiriki pamoja katika hafla hii ya kujumuika na kuwafariji watoto wetu wanaoishi katika mazingira magumu......

Sio mbaya watakaopata nafasi hiyo wakija pia na zawadi au vitu mbali mbali kwaajili ya kuwapa watoto au kuchangia, vitu kama Madaftari, Unga, Sabuni, Sukari, Mafuta au chochote kidogo kwa uwezo wako.

Ikishindikana kuwapata kwa njia hii, nitajaribu kuchagua wadau wa siku nyingi ninaoamini wataweza kushiriki kwa moyo. Ila ningependa na wengine wajumuike ambao sio walewale wa siku zote





BELINA BIRTHDAY PARTY NA MA SUPRISE KIBAO

Hafla ya chakula cha jioni kusherehekea siku yake kubwa ya kuzaliwa Belina, ilifanyika Sweet Eazy
Pichani juu akiwa na mupenzi
Wanawake wengi hupenda viatu, kwahivyo basi keki ilioandaliwa usiku huo ilikuwa ya muundo wa kiatu

Asante kwa mwaliko



Mashostito mbalimbali waliohudhuria, sherehe hiyo ya kuzaliwa Belina iliohudhuriwa na watu zaidi ya 60

Mazawadi yakaanza baada ya kula na kunywa, kabla ya kuingia ukumbini kulisakata Rhumba

Mume akimvisha zawadi Bibi, Zawadi zilianzia masikioni, la kulia na la kushoto

Zikafatia shingoni na kumalizikia mkononi

Mwanamke madini, unaweza kumtathmini kwa usiku huo mmoja tu alikuwa ni wa thamani ya kiasi gani??? Je! Unaweza kuhudumia? Kama la hasha basi kaa mbali waachie wenzio wanaoweza

Shingoni dhahabu
Masikioni dhahabu, usiku ulikuwa mzuri kwa Belina, anaemilikiwa na mwanaume wa Kikongo anaejua thamani ya Mwanamke.

Belina natoa shukrani pia kwa wote walioitikia wito na kuifanya siku yake iwe ya kihistoria, pia kwa zawadi zingine zote mlizompatia.

SURA MPYA YA MACHOZI BAND - KATIKA PICHA YA PAMOJA


Bella, Carol & Kokoye

KISS.................KISS..................

Ciao super!
hope your quite ok!
Same to me. Ok
nimejaribu kusend hizi picture kidogo ili upate ona zaidi uzuri wa Unguja Zanzibar Tanzania
Hiki kisiwa kinaitwa Pungume Island na hapa ni secret beach, ni sehemu ndogo kama unavyoona but so wonder.

Secret beach ktk Pungume Island niko kati ya Bahari na nyuma yangu kuna mangroves lagoon - kisiwa hiki ni kwaajili ya mapumziko baada ya kutoka snorkelling na kushiba seafood ktk Kwale Island ni dakika 10 kutoka hapa.
Hii sasa huko nyuma kwangu ndo kuna mangroves yenyewe bt huwezi swim sana sababu kuna gelfish, niliwasha ile mbaya (lagoon beach)
Hiki ni kipisi cha rock na hii palikuwa lowtide baada ya masaa matatu sikukiona tena


Haya nikipata utamu mwingine nitauwakilisha Mumy ili tushear pamoja.
THANK LOVE YOU SUPER...........
Ciaoooooooooooooooo

SWEET EAZY JUMAPILI............MACHOZI BAND

Flowers wako MACHOZI BAND pekee, Good Pipo pia wako Machozi Band na Cruisers wako Machozi Band






Christian Bella (AKUDO IMPACT)

Zack Morris from the TV show Saved by the Bell played by Mark-Paul Gosselaar

Mark-Paul Harry Gosselaar was born March 1, 1974 in Panorama City, California. He is best known for playing Zack Morris in the TV show Saved by the Bell.  He also is well known for playing John Clark in NYPD Blue.




Mark-Paul Gosselaar as Zack Morris in the TV show Saved by the Bell

Gosselaar began his acting career in 1986 appearing in the TV show Highway to Heaven starring Michael Landon,

UZURI WA TANZANIA - NGORONGORO






Haya ni maelezo mafupi yalioambatana na picha hizi nilizotumiwa.

Hi Super?
Hope your Sunday is good there!
Na huu ndo uzuri wa Tanzania ktk hifadhi ya Ngorongoro. Watanzania tuwe na mazoea ya
kutembea maeneo mbali mbali ya nchi yetu pindi tupatapo likizo kwa wafanyakazi na wanafunzi.
safari hii inacost $1050 including everything 3 days 2 night. But unaweza kodi gari Dar then mpaka
Arusha ama ukapanda bus mpaka Arusha then ukaorganise Safari Arusha ina kuwa cheep kidogo
around $100 per Car.

NB: Wish you good day Super JJ



Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive